Jumatano ya 4 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 49:8-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:8-9, 13-14, 17-18Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma.
Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma,
Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema.
Bwana ni mwema kwa watu wote,
Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
K. Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma.
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote,
Ni mamlaka yako ni ya vizazi vyote.
Bwana huwategemeza wote waangukao,
Huwainua wote walioinama chini.
K. Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma.
Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,
Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Bwana yu karibu na wote wamwitao,
Wote wamwitao kwa uaminifu.
K. Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma.
Shangilio la Injili
Mt 4:4Injili
Yn 5:17-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni