Dominika ya 4 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Nya 36:14-16, 19-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 137:1-6Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka.
Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi,
Tukalia tulipoikumbuka Sayuni.
Katika miti iliyo katikati yake
Tulivitundika vinubi vyetu.
K. Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka.
Maana huko waliotuchukua mateka
Walitaka tuwaimbie;
Na waliotuonea walitaka furaha;
Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.
K. Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka.
Tuuimbeje wimbo wa Bwana Katika nchi ya ugeni?
Ee Yerusalemu, nikikusahau wewe,
Mkono wangu wa kuume na usahau.
K. Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka.
Ulimi wangu na ugandamane
Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka.
Nisipoikuza Yerusalemu
Zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.
K. Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka.
Somo la Pili
Efe 2:4-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 3:16Injili
Yn 3:14-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni