Jumanne ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Dan 3:25, 34-43Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 25:4-9Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako.
Ee Bwana unijulishe njia yako,
Unifundishe mapito yako,
Uniongoze katika kweli yako,
Na kunifundisha.
K. Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako.
Ee Bwana kumbuka rehema zako na fadhili zako,
Maana zimekuwako tokea zamani.
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu,
Wala maasi yangu.
Ee Bwana, kwa ajili ya wema wako.
K. Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako.
Bwana yu mwema, mwenye adili,
Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.
Wenye upole atawaongoza katika hukumu,
Wenye upole atawafundisha njia yake.
K. Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako.
Shangilio la Injili
Yn 11:25, 26Injili
Mt 18:21-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni