Dominika ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 20:1-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:7-10Wewe, Bwana, ndiwe Mtakatifu wa Mungu.
Sheria ya Bwana ni kamilifu,
Huiburudisha nafsi.
Ushuhuda wa Bwana ni amini,
Humtia mjinga hekima.
K. Wewe, Bwana, ndiwe Mtakatifu wa Mungu.
Maagizo ya Bwana ni ya adili,
Huufurahisha moyo.
Amri ya Bwana ni safi,
Huyatia macho nuru.
K. Wewe, Bwana, ndiwe Mtakatifu wa Mungu.
Kicho cha Bwana ni kitakatifu,
Kinadumu milele.
Hukumu za Bwana ni kweli,
Zina haki kabisa.
K. Wewe, Bwana, ndiwe Mtakatifu wa Mungu.
Ni za kutamanika kuliko dhahabu,
Kuliko wingi wa dhahabu safi.
Nazo ni tamu kuliko asali,
Kuliko sega la asali.
K. Wewe, Bwana, ndiwe Mtakatifu wa Mungu.
Somo la Pili
1Kor 1:22-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 3:16Injili
Yn 2:13-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni