Jumatano ya 2 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer 18:18-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 31:4-5, 13-15Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.
Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri,
Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
Mikononi mwako naiweka roho yangu;
Umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli.
K. Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.
Maana nimesikia masingizio ya wengi;
Hofu ziko pande zote.
Waliposhauriana juu yangu,
Walifanya hila wauondoe uhai wangu.
K. Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.
Lakini mimi nakutumaini Wewe, Bwana,
Nimesema, Wewe ndiwe Mungu wangu.
Nyakati zangu zimo mikononi mwako;
Uniponye na adui zangu, nao wanaonifuatia.
K. Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Lk 8:15Injili
Mt 20:17-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni