Ijumaa ya 1 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze 18:21-28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 130Bwana kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
Ee Bwana, toka vilindini nimekulilia.
Bwana, uisikie sauti yangu.
Masikio yako na yaisikize
Sauti ya dua zangu.
K. Bwana kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu,
Ee Bwana, nani angesimama?
Lakini kwako kuna msamaha,
Ili Wewe uogopwe.
K. Bwana kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
Nimemgnoja Bwana, roho yangu imengoja,
Na neno lake nimelitumainia.
Nafsi yangu inamngoja Bwana,
Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi,
Naam, walinzi waingojao asubuhi.
K. Bwana kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
Ee Israeli, umtarajie Bwana;
Maana kwa Bwana kuna fadhili,
Na kwake kuna ukombozi mwingi.
Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.
K. Bwana kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
Shangilio la Injili
Yoe 2:12-13Injili
Mt 5:20-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni