Jumatatu ya 33 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Ufu 1:1-4; 2:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 1:1-4; 6Yeye ashindaye, nitampa matunda ya mti wa uzima.
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki;
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
K. Yeye ashindaye, nitampa matunda ya mti wa uzima.
Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
K. Yeye ashindaye, nitampa matunda ya mti wa uzima.
Sivyo walivyo wasio haki;
Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki,
Bali njia ya wasio haki itapotea.
K. Yeye ashindaye, nitampa matunda ya mti wa uzima.
Shangilio la Injili
Mt. 4:4Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Aleluya.
Injili
Lk 18:35-43Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni