Jumamosi ya 32 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
3 Yn 1:5-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 112:1-6Heri mtu yule amchaye Bwana.
Aleluya. Heri mtu yule amchaye Bwana,
Apendezwaye sana na maagizo yake.
Wazao wake watakuwa hodari duniani;
Kizazi cha wenye adili kitabarikiwa.
K. Heri mtu yule amchaye Bwana.
Nyumbani mwake mna utajiri na mali,
Na haki yake yakaa milele.
Nuru huwazukia wenye adili gizani;
Ana fadhili na huruma na haki.
K. Heri mtu yule amchaye Bwana.
Heri atendaye fadhili na kukopesha;
Atengenezaye mambo yake kwa haki.
Kwa maana hataondoshwa kamwe;
Mwenye haki atakumbukwa milele.
K. Heri mtu yule amchaye Bwana.
Shangilio la Injili
Zab. 130:5Roho yangu inamngoja Bwana, na neno lake nimelitumainia.
Aleluya.
Injili
Lk 18:1-8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni