Kumbukumbu ya Mtakatifu Fransisko wa Sale, Askofu na Mwalimu wa Kanisa
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Sam 1:1-4, 11-12, 17-19,23-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 80:1-2, 4-6Ee Mungu, uangazishe uso wako nasi tutaokoka
Wewe uchungaye Israeli, usikie,
Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi;
Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.
Mbele ya Efraimu, na Benyamini, na Manase,
Uziamshe nguvu zako, Uje, utuokoe.
K. Ee Mungu, uangazishe uso wako nasi tutaokoka
Ee Bwana, Mungu wa majeshi, hata lini Utayaghadhibikia maombi ya watu wako?
Umewalisha mkate wa machozi,
Umewanywesha machozi kwa kipimo kikuu.
Unatufanya sababu ya ugomvi kwa jirani zetu,
Na adui zetu wanacheka wao kwa wao.
K. Ee Mungu, uangazishe uso wako nasi tutaokoka
Injili
Mk 3:20-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni