Dominika ya 2 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Sam 3:3b-10, 19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 40:1,3,6-9Ndipo niliposema, tazama nimekuja, kufanya mapenzi yako.
Nalimngoja Bwana kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
Akatia wimbo mpya kinywani mwangu,
Ndio sifa zake Mungu wetu.
K. Ndipo niliposema, tazama nimekuja, kufanya mapenzi yako.
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja,
K. Ndipo niliposema, tazama nimekuja, kufanya mapenzi yako.
Katika gombo la chuo nimeandikiwa,
Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu;
Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
K. Ndipo niliposema, tazama nimekuja, kufanya mapenzi yako.
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa.
Sikuizuia midomo yangu; Ee Bwana, unajua.
K. Ndipo niliposema, tazama nimekuja, kufanya mapenzi yako.
Somo la Pili
1Kor 6:13c-15a, 17-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 11:25Wakati ule Yesu akajibu akasema;
Nakushukuru Baba Bwana wa mbingu na nchi kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya.
Injili
Yn 1:35-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni