Jumatano ya 1 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1 Sam 3:1-10, 19-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 40:1, 4, 6-9Tazama nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Nalimngoja Bwana kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake,
Wala hakuwaelekea wenye kiburi,
Wala hao wanaogeukia uongo.
K. Tazama nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja,
K. Tazama nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Katika gombo la chuo nimeandikiwa,
Kuyafanya mapenzi yako,
Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu;
Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
K. Tazama nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa.
Sikuizuia midomo yangu; Ee Bwana, unajua.
K. Tazama nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Injili
Mk 1:29-39Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni