Jumanne ya 32 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Tit 2: 1-8, 11-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 37:3-4, 18, 23, 27, 29Wokovu wa wenye haki una Bwana
Umtumaini Bwana ukatende mema,
Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Nawe utajifurahisha kwa Bwana,
Naye atakupa haja za moyo wako.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana
Bwana anazijua siku za wakamilifu,
Na urithi wao utakuwa wa milele.
Hatua za mtu zaimarishwa na Bwana,
Naye aipenda njia yake.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana
Jiepue na uovu, utende mema,
Na kukaa hata milele.
Wenye haki watairithi nchi,
Nao watakaa humo milele.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana
Injili
Lk 17:7-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni