Jumamosi ya 3 ya Majilio
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mal 3:1–4; 4:5–6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 25:4–5, 8–10, 14Changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu unakaribia.
Ee Bwana, unijulishe njia zako,
Unifundishe mapito yako.
Uniongoze katika kweli yako,
Na kunifundisha.
Maana wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu.
K. Changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu unakaribia.
Bwana yu mwema, mwenye adili,
Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.
Wenye upole atawaongoza katika hukumu,
Wenye upole atawafundisha njia yake.
K. Changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu unakaribia.
Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli,
Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake.
Siri ya Bwana iko kwao wamchao,
Naye atawajulisha agano lake.
K. Changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu unakaribia.
Shangilio la Injili
ShangilioEe Imanueli, Mfalme na Mwanasheria wetu, njoo ukatuokoe, ee Bwana, Mungu wetu.
Aleluya.
Injili
Lk. 1:57 – 66Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni