Jumanne ya 3 ya Majilio
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Amu 13:2–7, 24–25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 71:3–6, 16–17Kinywa changu kitajazwa sifa zako, na heshima yako mchana kutwa.
Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu,
Uniamuru niokolewe,
Ndiwe genge langu na ngome yangu.
Ee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi.
K. Kinywa changu kitajazwa sifa zako, na heshima yako mchana kutwa.
Maana ndiwe taraja langu, Ee Bwana Mungu,
Tumaini langu tokea ujana wangu.
Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa,
Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu.
K. Kinywa changu kitajazwa sifa zako, na heshima yako mchana kutwa.
Nitakuja na mambo ya ajabu ya Bwana Mungu,
Nitawakumbusha watu haki yakow ewe peke yako.
Ee Mungu umenifundisha tokea ujana wangu;
Nimekuwa nikitangaza miujiza yako hata leo.
K. Kinywa changu kitajazwa sifa zako, na heshima yako mchana kutwa.
Shangilio la Injili
ShangilioEe chipukizi la Yese, unayesimama kama ishara ya mataifa, usikawie kuja kutuokoa.
Aleluya.
Injili
Lk 1:5–25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni