Jumamosi ya 34 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Dan 7:15-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Dan 3:82-87Msifuni na mwadhimisha milele.
Wanadamu, mhimidi Bwana;
Msifuni na kumwadhisha milele.
Bani Israeli, mhimidini Bwana;
Msifuni na kumwadhimisha milele.
K. Msifuni na mwadhimisha milele.
Makuhani wa Bwana, mhimidini Bwana;
Msifuni na kumwadhimisha milele.
Watumishi wa Bwana mhimidini Bwana;
Msifuni na kumwadhimisha milele.
K. Msifuni na mwadhimisha milele.
Roho na nafsi zao wenye haki mhimidini Bwana;
Msifuni na kumwadhimisha milele.
Watakatifu na wanyenyekevu moyoni,
Mhimidini Bwana;
Msifuni na kumwadhimisha milele.
K. Msifuni na mwadhimisha milele.
Shangilio la Injili
Yak 1:18Kwa kupenda kwake mwenyewe, Baba alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.
Aleluya.
Injili
Lk 21:34-36Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni