Jumamosi ya 33 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Mak 6:1:13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 9:1-2,5,15,18Nitaufurahia wokovu wako, Ee Bwana.
Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote;
Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;
Nitafurahi na kukushangilia Wewe;
Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.
K. Nitaufurahia wokovu wako, Ee Bwana.
Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma;
Hujikwaa na kuangamia mbele zako.
Umewakembea mataifa;
Na kumwangamiza mdhalimu;
Umelifuta jina lao milele na milele.
K. Nitaufurahia wokovu wako, Ee Bwana.
Mataifa wamezama katika shimo walilolifanya;
Kwa wavu waliouficha imenaswa miguu yao.
Kwa maana mhitaji hatasahauliwa daima;
Matumaini ya wanyonge hayatapotea milele.
K. Nitaufurahia wokovu wako, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Efe 1:17,18Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristu, awape roho ya hekima mjue tumaini la mwito wake.
Aleluya.
Injili
Lk 20:27-40Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni