Jumamosi ya 32 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 18:14-16, 19:6-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 105:2-3, 36-37, 42, 43Zikumbukeni ajabu Bwana alizozifanya.
Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi,
Zitafakarini ajabu zake zote.
Jisifuni kwa jina lake takatifu,
Na ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana.
K. Zikumbukeni ajabu Bwana alizozifanya.
Akawapiga wazaliwa wa kwanza katika nchi.
Malimbuko ya nguvu zao.
Akawatoa hali wana fedha na dhahabu,
Katika kabila zao asiwepo mwenye kukwaa.
K. Zikumbukeni ajabu Bwana alizozifanya.
Maana alilikumbuka neno lake takatifu,
Na Ibrahimu, mtumishi wake.
Akawatoa watu wake kwa shangwe,
Na wateule wake kwa nyimbo za furaha.
K. Zikumbukeni ajabu Bwana alizozifanya.
Shangilio la Injili
Zab 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.
Aleluya.
Injili
Lk 18:1-8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni