Dominika ya 31 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mal 1:14-2:2, 8-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 131Ee Bwana, uilinde nafsi yangu katika amani yako.
Bwana, moyo wangu hauna kiburi,
Wala macho yangu hayainuki.
Wala sijishughulishi na mambo makuu,
Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.
K. Ee Bwana, uilinde nafsi yangu katika amani yako.
Hakika nimeituliza nafsi yangu,
Na kuinyamazisha.
Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake;
Kama mtoto aliyeachishwa,
Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.
K. Ee Bwana, uilinde nafsi yangu katika amani yako.
Ee Israeli, umtarajie Bwana,
Tangu leo na hata milele.
K. Ee Bwana, uilinde nafsi yangu katika amani yako.
Somo la Pili
1Thes 2:7-9,13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 6:63, 68Bwana maneno yako ni roho tena ni uzima, wewe unayo maneno ya uzima wa milele,
Aleluya
Injili
Mt 23:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
jonas julius john · 5 Novemba 2023
asante sana