Dominika ya 30 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 22:21-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 18:1-3, 46, 50Wewe, Bwana, nguvu yangu, nakupenda sana.
Wewe Bwana, nguvu zangu, nakupenda sana;
Bwana ni jabali langu, na boma langu,
Na mwokozi wangu.
K. Wewe, Bwana, nguvu yangu, nakupenda sana.
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia,
Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu,
Na ngome yangu.
Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa,
Hivyo nitaokoka na adui zangu.
K. Wewe, Bwana, nguvu yangu, nakupenda sana.
Bwana ndiye aliye hai,
Na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu.
Ampa mfalme wokovu mkuu.
Amfanyia fadhili masihi wake.
K. Wewe, Bwana, nguvu yangu, nakupenda sana.
Somo la Pili
1Thes 1:5-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 1:12, 14Naye neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu.
Aleluya.
Injili
Mt 22:34-40Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni