Jumamosi ya 27 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yoe 3:12-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 97:1-2, 5-6, 11-12Enyi wenye haki, mfurahieni Bwana.
Bwana ametamalaki, nchi na ishangilie,
Visiwa vingi na vifurahi.
Mawingu na giza vyamzunguka,
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.
K. Enyi wenye haki, mfurahieni Bwana.
Milima iliyeyuka kama nta mbele za Bwana,
Mbele za Bwana wa dunia yote.
Mbingu zimetangaza haki yake,
Na watu wote wameuona utukufu wake.
K. Enyi wenye haki, mfurahieni Bwana.
Nuru imemzukia mwenye haki,
Na furaha wanyofu wa moyo.
Enyi wenye haki, mmfurahieni Bwana,
Na kulishukuru jina lake takatifu.
K. Enyi wenye haki, mfurahieni Bwana.
Injili
Lk 11:27-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni