Dominika ya 27 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 5:1-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 80:8, 11-15, 18-19Shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumba ya Israeli.
Ulileta mzabibu kutoka Misri,
Ukawafukuza mataifa ukaupanda.
Nao uliyaeneza matawi yake hata baharini,
Na vichipukizi vyake hata kunako Mto.
K. Shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumba ya Israeli.
Kwa nini umezibomoa kuta zake,
Wakauchuma wote wapitao njiani?
Nguruwe wa msituni wanauharibu,
Na hayawani wa kondeni wanautafuna.
K. Shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumba ya Israeli.
Ee Mungu wa majeshi, tunakusihi, urudi,
Utazame toka juu uone, uujilie mzabibu huu.
Na mche ule ulioupanda Kwa mkono wako wa kuume;
K. Shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumba ya Israeli.
Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma;
Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.
Ee Bwana, Mungu wa majeshi, uturudishe,
Uangazishe uso wako nasi tutaokoka.
K. Shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumba ya Israeli.
Somo la Pili
Flp 4:6-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, asema Bwana; Nami nawajua, nao wanifuata
Aleluya
Injili
Mt 21:33-43Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni