Jumatatu ya 24 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Tim 2:1-8Nami kwa ajili ya huo naliwekwa niwe mhubili na mtume - nasema kweli, sisemi uongo -, mwalimu wa Mataifa katika imani na kweli.
Basi nataka wanaume wasalishe kila mahali, huku wakiinua mikono iliyotakata pasipo hasira wala majadiliano.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 28: 2, 7-9Na ahimidiwe Bwana maana amesikia sauti yangu.
Uisikie sauti ya dua yangu nikuombapo, nikipainulia patakatifu pako mikono yangu.
K. Na ahimidiwe Bwana maana amesikia sauti yangu.
Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu, moyo wangu umemtumaini, nami nimesaidiwa; basi moyo wangu unashangilia, na kwa wimbo wangu nitakushukuru.
K. Na ahimidiwe Bwana maana amesikia sauti yangu.
Bwana ni nguvu za watu wake, naye ni ngome ya wokovu kwa masiya wake.
K. Na ahimidiwe Bwana maana amesikia sauti yangu.
Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako, uwachunge, uwachunguze milele.
K. Na ahimidiwe Bwana maana amesikia sauti yangu.
Shangilio la Injili
Yn 3: 16Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu,
hata akamtoa Mwanawe pekee,
ili kila mtu amwaminiye asipotee,
bali awe na uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Lk 7:1-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni