Jumatatu ya 21 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1The 1:2-5, 8-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 149:1-6Bwana awaridhia watu wake
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya,
Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
K. Bwana awaridhia watu wake
Na walisifu jina lake kwa kucheza,
Kwa matari na kinubi wamwimbie.
Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake,
Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
K. Bwana awaridhia watu wake
Watauwa na waushangilie utukufu,
Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao,
Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Aleluya
K. Bwana awaridhia watu wake
Shangilio la Injili
Zab 130: 5Roho yangu inamngoja Bwana, na neno lake nimelitumainia.
Aleluya.
Injili
Mt 23:13-22Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni