Ijumaa ya 19 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yos 24:1-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 136:1-4, 16-18, 21-22Maana fadhili zake ni za milele.
Aleluya.
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Mshukuruni Mungu wa miungu;
kwa maana fadhili zake ni za milele.
K. Maana fadhili zake ni za milele.
Mshukuruni Bwana wa mabwana,
kwa maana fadhili zake ni za milele.
Yeye peke yake afanya maajabu makuu,
kwa maana fadhili zake ni za milele.
K. Maana fadhili zake ni za milele.
Yeye aliyefanya mbingu kwa fahamu zake,
kwa maana fadhili zake ni za milele.
Yeye aliyewaongoza watu wake jangwani;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
K. Maana fadhili zake ni za milele.
Yeye aliyewapiga wafalme wakuu;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Akawaua wafalme mashuhuri;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
K. Maana fadhili zake ni za milele.
Akaitoa nchi yao iwe urithi;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Urithi wa Israeli mtumishi wake;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
K. Maana fadhili zake ni za milele.
Shangilio la Injili
2 Tim 1:10Mwokozi wetu Yesu Kristo likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote. mkumshukuru Mungu Baba kwa Yeye.
Aleluya.
Injili
Mt 19:3-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni