Jumatano ya 30 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Efe 6:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:10-14Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru.
Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru,
Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Wataunena utukufu wa ufalme wako,
Na kuuhadithia uweza wako.
K. Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru.
Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu,
Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote,
K. Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru.
Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote,
Bwana huwategemeza wote waangukao,
Huwainua wote walioinama chini.
K. Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru.
Shangilio la Injili
1Sam. 3:9 Yn. 6:68Nena Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia, wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Lk 13:22-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni