Ijumaa ya 29 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Efe 4:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 24:1-6Hiki ndicho kizazi cha wakufuatao, Ee Bwana.
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
K. Hiki ndicho kizazi cha wakufuatao, Ee Bwana.
Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili
K. Hiki ndicho kizazi cha wakufuatao, Ee Bwana.
Atapokea baraka kwa Bwana, Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao, Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
K. Hiki ndicho kizazi cha wakufuatao, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Efe. 1:17, 18Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, awape roho ya hekima mjue tumaini la mwito wake.
Aleluya.
Injili
Lk 12:54-59Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni