Jumanne ya 8 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
YbS. 35 : 1-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 50 : 5-8, 14, 23Nitamwonyesha wokovu wa Mungu autengenezaye mwenendo wake.
Nikusanyieni wacha Mungu wangu
Waliofanya agano nami kwa dhabihu.
Na mbingu zitatangaza haki yake,
Kwa maana Mungu ndiye aliye hakimu.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu autengenezaye mwenendo wake.
Sikieni, enyi watu wangu, nami nitanena,
Mimi nitakushuhudia, Israeli;
Mimi ndimi niliye Mungu, Mungu wako.
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako,
Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu autengenezaye mwenendo wake.
Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru,
Mtimizie Aliye iuu nadhiri zako.
Atoaye dhabihu za kushukuru,
Ndiye anayenitukuza.
Naye autengenezaye mwenendo wake,
Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu autengenezaye mwenendo wake.
Shangilio la Injili
LK 8:15Wanabarikiwa wale ambao kwa unyofu na wema wa mioyo yao hulisikia neno la Mungu.
Aleluya.
Injili
Mk. 10:28-31Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni