Jumanne ya 7 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 20:17-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 68:9-10, 19-20Enyi falme wa dunia, mwimbieni Mungu.
Ee Mungu, ulinyesha mvua ya neema;
Urithi wako ulipochoka uliutia nguvu.
Kabila yako ilifanya kao lake huko;
Ee Mungu, kwa wema wako uliwaruzuku walioonewa.
K. Enyi falme wa dunia, mwimbieni Mungu.
Na ahimidiwe Bwana,
Siku kwa siku hutuchukulia mzigo wetu;
Mungu ndiye wokovu wetu.
Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa;
Na njia za kutoka mautini.
K. Enyi falme wa dunia, mwimbieni Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:16Nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele.
Aleluya.
Injili
Yn 17:1-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni