Alhamisi ya 2 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 5:27-33Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:1, 8, 15-19Nitamhimidi Bwana kila wakati,
Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema;
Heri mtu yule anayemtumaini.
(K)Maskini huyu aliita, Bwana akasikia.
Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki,
Na masikio yake hukielekea kilio chao.
Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya,
Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Walilia, naye Bwana akasikia,
Akawaponya na taabu zao zote.
(K)Maskini huyu aliita, Bwana akasikia.
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo,
Na waliopondeka roho huwaokoa.
Mateso ya mwenye haki ni mengi,
Lakini Bwana humponya nayo yote.
(K)Maskini huyu aliita, Bwana akasikia.
Shangilio la Injili
Yn 20:29Umesadiki, Toma, kwa kuwa umeniona, wa heri wale wasioona, wakasadiki.
Aleluya.
Injili
Yn 3:31-36Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni