Jumanne ya 2 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 4:32-37Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 93:1-2, 5Bwana ametamalaki, amejivika adhama,
Bwana amejivika, na kujikaza nguvu.
(K)Bwana ametamalaki, amejivika adhama.
Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike;
Kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani;
Wewe ndiwe uliye tangu milele.
(K)Bwana ametamalaki, amejivika adhama.
Shuhuda zako ni amini sana;
Utakatifu ndio uifaao nyumba yako,
Ee Bwana, milele na milele.
(K)Bwana ametamalaki, amejivika adhama.
Shangilio la Injili
Yn 10:14Bwana asema: mimi ndimi mchungaji mwema; Nao walio wangu nawajua, nao walio wangu wanijua mimi.
Aleluya.
Injili
Yn 3:7-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni