Alhamisi ya 5 ya Kwaresima
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 17:3-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 150: 4-9Analikumbuka agano lake milele.
Mtakeni Bwana na nguvu zake,
Utafuteni uso wake siku zote.
Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya,
Miujiza yake na hukumu za kinywa chake.
K. Analikumbuka agano lake milele.
Enyi wazao wa Ibrahimu, mtumishi wake;
Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Yeye, Bwana, ndiye Mungu wetu;
Duniani mwote mna hukumu zake.
K. Analikumbuka agano lake milele.
Analikumbuka agano lake milele;
Neno lile aliloviamuru vizazi elfu.
Agano alilofanya na Ibrahimu,
Na uapo wake kwa Isaka.
K. Analikumbuka agano lake milele.
Shangilio la Injili
2Kor 6:2Injili
Yn 8:51-59Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni