Dominika ya 1 ya Kwaresima
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 2:7–9, 3:1–7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 51:1–4, 10–12, 15Uturehemu, ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Ee Mungu unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
K. Uturehemu, ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Maana nimejua mimi makosa yangu,
Na dhambi yangu I mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako,
Na kufanya maovu mbele ya macho yako.
K. Uturehemu, ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Ee Mungu, uniumbie moyo safi,
Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu.
Usinitenge na uso wako,
Wala roho yako mtakatifu usiniondolee.
K. Uturehemu, ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Unirudishie furaha ya wokovu wako;
Unitegemeze kwa roho ya wepesi.
Ee Bwana, uifumbue midomo yangu,
Na kinywa changu kitazinena sifa zako.
K. Uturehemu, ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Somo la Pili
Rum 5:12–19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 4:4Injili
Mt 4:1–11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni