Jumamosi ya 5 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 3:9-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 90:2, 3-4abc, 5-6, 12-13Wewe Bwana, umekuwa makao yetu, kikazi baada ya kizazi.
Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia,
Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
K. Wewe Bwana, umekuwa makao yetu, kikazi baada ya kizazi.
Wamrudisha mtu mavumbini, usemapo,
Rudini, enyi wanadamu.
Maana miaka elfu machoni pako Ni kama siku ya jana ikiisha kupita,
Na kama kesha la usiku.
K. Wewe Bwana, umekuwa makao yetu, kikazi baada ya kizazi.
Wawagharikisha, huwa kama usingizi,
Asubuhi huwa kama majani yameayo.
Asubuhi yachipuka na kumea,
Jioni yakatika na kukauka.
K. Wewe Bwana, umekuwa makao yetu, kikazi baada ya kizazi.
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu,
Tujipatie moyo wa hekima.
Ee Bwana urudi, hata lini?
Uwahurumie watumishi wako.
K. Wewe Bwana, umekuwa makao yetu, kikazi baada ya kizazi.
Injili
Mk 8:1-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni