Kutolewa Bwana Hekaluni
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mal 3:1-4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 24:7-10Ni nani mfalme wa utukufu! Ni Bwana, mwenye nguvu, hodari
Inueni vichwa vyenu, enyi malango,
Inukeni, enyi malango ya milele,
Mfalme wa utukufu apate kuingia.
K. Ni nani mfalme wa utukufu! Ni Bwana, mwenye nguvu, hodari
Ni nani Mfalme wa utukufu?
Bwana mwenye nguvu, hodari,
Bwana hodari wa vita.
K. Ni nani mfalme wa utukufu! Ni Bwana, mwenye nguvu, hodari
Inueni vichwa vyenu, enyi malango,
Naam, viinueni, enyi malango ya milele,
Mfalme wa utukufu apate kuingia.
K. Ni nani mfalme wa utukufu! Ni Bwana, mwenye nguvu, hodari
Ni nani huyu Mfalme wa utukufu?
Bwana wa majeshi,
Yeye ndiye Mfalme wa utukufu.
K. Ni nani mfalme wa utukufu! Ni Bwana, mwenye nguvu, hodari
Somo la Pili
Ebr 2:14-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 2:32Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.
Aleluya!
Injili
Lk 2:22-40Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni