Alhamisi ya 2 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 7:25–8:6Lakini sasa amepata huduma iliyo bora zaidi, kwa kadiri alivyo mjumbe wa agano lililo bora, lililoamriwa juu ya ahadi zilizo bora.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 40:6–9, 16Tazama nimekuja kufanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja.
K. Tazama nimekuja kufanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Katika gombo la chuo nimeandikiwa,
Kuyafanya mapenzi yako,
Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu;
Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
K. Tazama nimekuja kufanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Nimehubiri habari za haki, Katika kusanyiko kubwa,
Sikuizuia midomo yangu, Ee Bwana, unajua.
K. Tazama nimekuja kufanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
2Kor 5:19Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, ametia ndani yetu neno la upatanisha.
Aleluya.
Injili
Mk 3:7-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni