Dominika ya 2 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 49:3,5-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 40:1, 3, 6-9Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, Kuyafanya mapenzi yako.
Nalimngoja Bwana kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
Akatia wimbo mpya kinywani mwangu,
Ndio sifa zake Mungu wetu.
K. Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, Kuyafanya mapenzi yako.
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja,
K. Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, Kuyafanya mapenzi yako.
Katika gombo la chuo nimeandikiwa,
Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu,
ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
K. Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, Kuyafanya mapenzi yako.
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa.
Sikuizuia midomo yangu; Ee Bwana, unajua.
K. Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, Kuyafanya mapenzi yako.
Somo la Pili
1Kor 1:1-3Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 12:13bWalisema, ndiye mbarikiwa
Mfalme ajaye kwa jina la Bwana,
Aleluya
Injili
Yn 1:29-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni