Sikukuu ya Watoto Watakatifu Mashahidi
· Mwaka A
Somo la Kwanza
1Yoh 1:5-2:2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 124:1-4, 7-8Nafsi yetu imeokoka kama ndege, katika mtego wa wawindaji.
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,
Israeli na aseme sasa,
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,
Wanadamu walipotushambulia.
K. Nafsi yetu imeokoka kama ndege, katika mtego wa wawindaji.
Papo hapo wangalitumeza hai,
Hasira yao ilipowaka juu yetu;
Papo hapo maji yangalitugharikisha,
Mto ungalipita juu ya roho zetu.
K. Nafsi yetu imeokoka kama ndege, katika mtego wa wawindaji.
Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Msaada wetu u katika jina la Bwana,
Aliyezifanya mbingu nan chi.
K. Nafsi yetu imeokoka kama ndege, katika mtego wa wawindaji.
Shangilio la Injili
ShangilioEe Mungu, tunakusifu, tunakukiri kuwa Bwana. Jamii tukufu ya Mitume inakusifu.
Aleluya.
Injili
Mt 2:13-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni