Alhamisi ya 3 ya Majilio
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 54:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 30:1, 3-5, 10-12Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua.
Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua,
Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
Umeniinua nafsi yangu, Ee Bwana, kutoka kuzimu.
Umenihuisha na kunitoa Miongoni mwao washukao shimoni.
K. Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua.
Mwimbieni Bwana zaburi, Enyi watauwa wake.
Na kufanya shukrani. Kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo,
Katika radhi yake mna uhai. Huenda kilio huja kukaa usiku,
Lakini asubuhi huwa furaha.
K. Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua.
Ee Bwana, usikie, unirehemu, Bwana, uwe msaidizi wangu.
Uligeuza matanga yangu kuwa machezo;
Ee Bwana, Mungu wangu, Nitakushukuru milele.
K. Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua.
Shangilio la Injili
Lk. 3:4, 6Itengenezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito yake, na wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu.
Aleluya.
Injili
Lk 7:24-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni