Jumamosi ya 33 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ufu 11:4-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 144:1-2, 9-10Na ahimidiwe Bwana, mwamba wangu,
Anifundishaye mikono yangu vita,
Vidole vyangu kupigana.
(K)Ahimidiwe Bwana, mwamba wa wokovu wangu.
Mhisani wangu na boma langu,
Ngome yangu na mwokozi wangu,
Ngao yangu niliyemkimbilia,
Huwatiisha watu wangu chini yangu.
(K)Ahimidiwe Bwana, mwamba wa wokovu wangu.
Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya,
Kwa kinanda chenye nyuzi kumi nitakuimbia.
Awapaye wafalme wokovu, Amwokoa Daudi,
mtumishi wake, na upanga wa uovu.
(K)Ahimidiwe Bwana, mwamba wa wokovu wangu.
Shangilio la Injili
Kol. 3:16 – 17Neno la Kristo likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.
Aleluya.
Injili
Lk 20:27-40Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni