Dominika ya 31 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 11:22-12:2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145: 1-2, 8-11, 13-14Ee Mungu Mfalme wangu, Nitalitukuza jina lako milele
Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza,
Nitalihimidi jina lako milele na milele.
Kila siku nitakuhimidi,
Nitalisifu jina lako milele na milele.
K. Ee Mungu Mfalme wangu, Nitalitukuza jina lako milele
Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma,
Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,
Bwana ni mwema kwa watu wote,
Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
K. Ee Mungu Mfalme wangu, Nitalitukuza jina lako milele
Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru,
Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Wataunena utukufu wa ufalme wako,
Na kuuhadithia uweza wako.
K. Ee Mungu Mfalme wangu, Nitalitukuza jina lako milele
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote,
Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote.
Bwana huwategemeza wote waangukao,
Huwainua wote walioinama chini.
K. Ee Mungu Mfalme wangu, Nitalitukuza jina lako milele
Somo la Pili
2The 1:11-2:2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 2:36Kesheni ninyi kila wakati, mkiomba, ili mpate kusimama mbele za Mwana wa Adamu.
Aleluya
Injili
Lk 19:1-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni