Dominika ya 26 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Amo 6:1,4-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 146:6-10Ee nafsi yangu, umsifu Bwana
Huishika kweli milele,
Huwafanyia hukumu walioonewa,
Huwapa wenye njaa chakula;
Bwana hufungua waliofungwa;
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana
Bwana huwafumbua macho waliopofuka;
Bwana huwainua walioinama;
Bwana huwapenda wenye haki;
Bwana huwahifadhi wageni;
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana
Huwategemeza yatima na mjane;
Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Bwana atamiliki milele,
Mungu wako, Ee Sayuni, kizazi hata kizazi.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana
Somo la Pili
1Tim 6:11-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 17:17Neno lako ndiyo kweli, ee Bwana; Ututakase sisi kwa ile kweli.
Aleluya
Injili
Lk 16:19-31Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni