Alhamisi ya 24 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Kor 15:1–11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 118:1–2, 15–17, 28Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Aleluya.
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema,
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Israeli na aseme sasa,
Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa;
Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.
Sitakufa bali nitaishi,
Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru,
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Shangilio la Injili
Kol 3:16, 17Neno la Kristo likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, Mkimshukuru Mungu Baba kwa Yeye.
Aleluya.
Injili
Lk 7:36–50Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni