Jumatano ya 23 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Kor 7:25–31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 45:10–11, 13–16Sikia, binti, utazame, utege sikio lako.
Sikia, binti, utazame, utege sikio lako,
Uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako.
Naye mfalme atautamani uzuri wako,
Maana ndiye bwana wako, nawe umsujudie.
K. Sikia, binti, utazame, utege sikio lako.
Binti mfalme yumo ndani ana fahari tupu,
Mavazi yake ni nyuzi za dhahabu.
Atapelekwa kwa mfalme
Wanawali wenzake wanaomfuata.
K. Sikia, binti, utazame, utege sikio lako.
Watapelekwa kwa furaha na shangwe,
Na kuingia katika nyumba ya mfalme.
Badala ya baba zako watakuwapo watoto wako,
Utawafanya kuwa wakuu katika nchi zote.
K. Sikia, binti, utazame, utege sikio lako.
Shangilio la Injili
Zab 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.
Aleluya.
Injili
Lk 6:20–26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni