Dominika ya 19 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 18:6-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 33:1, 12, 18-16,20-22Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao.
Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki,
Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao.
Watu aliowachagua kuwa urithi wake.
K. Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao.
Tazama, jicho la Bwana li kwao wamchao,
Wazingojea fadhili zake.
Yeye huwaponya nafsi zao na mauti,
Na kuwahuisha wakati wa njaa.
K. Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao.
Nafsi zetu zinamngoja Bwana,
Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.
Ee Bwana, fadhili zako zikae nasi,
Kama vile tulivvokungoja Wewe.
K. Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao.
Somo la Pili
Ebr 11:1-2, 8-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 8:12Mimi ndimi nuru ya ulimwengu. asema Bwana: Yeye anifuataye atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya.
Injili
Lk 12:32-48Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni