Sherehe ya Mwili na Damu ya Bwana Wetu Yesu Kristu
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mwa 14:18-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 110:1-4Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Neno la Bwana kwa Bwana wangu,
Uketi mkono wangu wa kuume,
Hata niwafanyapo adui zako
Kuwa chini ya miguu yako.
K. Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Bwana atainyosha toka Sayuni
Fimbo ya nguvu zako.
Uwe na enzi kati ya adui zako;
K. Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Watu wako wanajitoa kwa hiari,
Siku ya uwezo wako; Kwa uzuri wa utakatifu, Tokea tumbo la asubuhi, Unao umande wa ujana wako.
K. Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Bwana ameapa,
Wala hataghairi,
Ndiwe kuhani hata milele,
Kwa mfano wa Melkizedeki.
K. Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Somo la Pili
1Kor 11:23-26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 6:51Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni, asema Bwana; mtu akila chakula hiki, ataishi milele
Aleluya
Injili
Lk 9:11-17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
BENJAMIN MUTIGA · 19 Juni 2022
ningependa myaweke mapema masomo haya kwani misa kweetu inaanza mapema sana