Jumatatu ya 10 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 17:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 121:1-8Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
K. Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;
Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
K. Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume.
Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku.
K. Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
K. Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Shangilio la Injili
Mt 5:12aFurahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni;
Aleluya
Injili
Mt 5:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni