Jumamosi ya 7 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo. 28 :16-20, 30-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 11 :4-5, 7Wanyofu wa moyo wauona uso wake, Ee Bwana. au: Aleluya.
Bwana yu katika hekalu lake takatifu.
Bwana ambaye kiti chake kiko mbinguni,
Macho yake yanaangalia;
Kope zake zinawajaribu wanadamu.
K. Wanyofu wa moyo wauona uso wake, Ee Bwana. au: Aleluya.
Bwana humjaribu mwenye haki;
Bali nafsi yake humchukia asiye haki,
Na mwenye kupenda udhalimu.
K. Wanyofu wa moyo wauona uso wake, Ee Bwana. au: Aleluya.
Kwa kuwa Bwana ndiye mwenye haki,
Apenda matendo ya haki,
Wanyofu wa moyo watamwona uso wake.
K. Wanyofu wa moyo wauona uso wake, Ee Bwana. au: Aleluya.
Shangilio la Injili
Mt. 28 :19-20Enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi. Mimi nipo pamoja nanyi sikuzote, Hata ukamilifu wa dahari.
Aleluya.
Injili
Yn. 21:20-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni