Jumatano ya 7 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 20 : 28-38Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 68:28-29, 32-35Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu.
Ee Mungu, uziamuru nguvu zako;
Ee Mungu, uwe hodari uliyetufanyia makuu.
Kwa ajili ya hekalu lako Yerusalemu
Wafalme watakuletea hedaya.
K. Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu.
Au: Aleluya.
Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu,
Msifuni Bwana kwa nyimbo.
Apandaye mbingu za mbingu za tangu milele;
Aitoa sauti yake, sauti ya nguvu.
Mhesabieni Mungu nguvu;
K. Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu.
Au: Aleluya.
Enzi yake i juu ya Israeli;
Na nguvu zake zi mawinguni.
Mungu ni mwenye kutisha Kutoka patakatifu pako.
Ndiye Mungu wa Israeli;
Yeye huwapa watu wake nguvu na uwezo.
Na ahimidiwe Mungu.
K. Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu.
Au: Aleluya.
Shangilio la Injili
Yn. 14 : 26Roho Mtakatifu atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
Aleluya.
Injili
Yn. 17:11-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni