Jumamosi ya Oktava ya Pasaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo 4:13–21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 118:1, 14–21Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Aleluya,
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema,
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu,
Naye amekuwa wokovu wangu.
Sauti ya furaha na wokovu,
Imo hemani mwao wenye haki.
K. Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.
Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa;
Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.
Sitakufa bali nitaishi,
Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
Bwana ameniadhibu sana,
Lakini hakuniacha nife.
K. Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Nifungulieni malango ya haki,
Nitaingia na kumshukuru Bwana.
Lango hili ni la Bwana,
Wenye haki ndio watakaoliingia.
Nitakushukuru kwa maana umenijibu,
Nawe umekuwa wokovu wangu.
K. Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Shangilio la Injili
Zab 118:24Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutaishangilia na kuifurahia.
Aleluya.
Injili
Mk 16:9–15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Emmanuel Shio · 23 Aprili 2022
Tunaomba na tafakari pia