Jumatatu ya 23 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Kor 5:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 5:4-6, 11Bwana, uniongoze kwa haki yako.
Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya; Mtu mwovu hatakaa kwako;
Wajivunao hawatasimama mbele za macho yako; Unawachukia wote watendao ubatili.
K. Bwana, uniongoze kwa haki yako.
Utawaharibu wasemao uongo; Bwana humzira mwuaji na mwenye hila
K. Bwana, uniongoze kwa haki yako.
Nao wote wanaokukimbilia watafurahi; Watapiga daima kelele za furaha.
Kwa kuwa Wewe unawahifadhi, Walipendao jina lako watakufurahia.
K. Bwana, uniongoze kwa haki yako.
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata.
Aleluya
Injili
Lk 6:6-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni